"NAJUTA KUBEBA MIMBA NIKIWA NA MIAKA 57"...

KUSHOTO: Tollefsen mara baada ya kujifungua Freya. KATI: Tollefsen na mpenzi wake, Nick Mayer pamoja na binti yao Freya. KULIA: Tollefsen akiwa amempakata Freya hivi karibuni baada ya kutengana na Nick.

Mwanamke Sue Tollefsen, ameibuka na kukiri kuwa alifanya makosa makubwa mwaka 2008 alipobeba ujauzito na kujifungua motto, Freya katika umri wa miaka 57.
Mama huyo ambaye anashika rekodi ya kuwa mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi Uingereza kubeba ujauzito, anakiri makosa hayo baada ya kuugua sana wiki chache tu baada ya kujifungua.
Akiongea miaka minne baada ya kujifungua, Sue Tollefsen amebainisha siku za mwanzo alishindwa kabisa kumlea mwanae Freya baada ya kukutwa na maradhi ya damu hali iliyomuacha akiwa hajitambui kipindi chote cha Krismasi.
Mwalimu huyo mstaafu, ambaye sasa ana miaka 61 kufuatia maradhi hayo yaliyomsibu, ilifika kipindi akaamini kwamba anakufa na hivyo kushindwa kushuhudia makuzi ya mwanae.
Sasa anaamini kabisa kuwa umri wa mwisho kubeba mimba ni miaka 50. Bi Tollefsen anasema, “Ni kweli kwamba tunajifunza kutokana na makosa, na kosa langu ni kutomzaa mtoto huyu mapema.”
“Nimeumwa sana, nilijua wazi kwamba nakufa. Nilikuwa siachi kumfikiria Freya na kwa mara ya kwanza, nikagundua sitaweza kuwa naye tena.”
Aliongeza, “Niwe mkweli, uzoefu niliopata umenifunza kwamba miaka 50 ndio umri sahihi wa mwisho kabisa kupata watoto.”
“Lakini hadi uwe nao basi, si rahisi kukubali kama hukujaliwa kuwa nao.”
Bi Tollefsen anayeishi kwa kutegemea pensheni yake kwenye nyumba ya vyumba viwili vya kulala huko Harold’s Wood, Essex, amesema pia uamuzi wake wa kutaka kuwa mama akiwa na miaka zaidi ya 50 umemfanya kuwa mfano kwa wazazi wengine.
Mwaka 2008 alizua mkanganyiko alipojifungua Freya (sasa miaka minne) kupitia njia ya upandikizaji mimba (IVF), kutokana na mbegu zilizotoka kwa rafiki yake wa kiume, Nick Mayer na kuchangiwa yai na msamaria mmoja.
Shutuma nyingi zimeelekezwa kwa Bi Tollefsen kutoka kwa watu mbalimbali zikisema kuwa ni mzee sana kwa yeye kuweza kuzaa, lakini yeye ameshikilia msimamo kwamba hajutii na kuwa angependa kupata mtoto mwingine.
Sasa anajisikia mwenye furaha akimtazama binti yake hasa baada ya kutengana na mpenzi wake, Nick Mayer mwenye miaka 49 mwaka jana.
Bi Tollefsen anasema, “Nilikuwa nahisi kumwaga machozi, ilinifanya nijisikie nimetengwa.”
“Kila mara nilipokuwa nampeleka Freya kliniki, hospitalini walikuwa wakidhani ni mjukuu wangu. Ilikuwa ikinikosesha amani.”
Ameongeza, “Katika umri huu, nimekuwa nikikatishwa tama kirahisi mno, hasa wakati nilipokuwa mgonjwa. Nilikuwa na miaka 57 wakati najifungua Freya, lakini nilijiona mwenye nguvu na kuweza kuikabili hali ile. Nilidhani ningekuwa imara na kuendelea kuwa na afya milele.”
“Natumaini nitaishi muda mrefu zaidi mpaka Freya akifika Chuo Kikuu na kuolewa na hatimaye kuwa na familia yake. Hilo ndilo ombi langu kuu kwa Mwenyezi Mungu kwa sasa.”
Tollefsen alishika mimba Juni, 2007 baada ya kujaribu mara tatu zoezi la IVF.
Yeye na mpenzi wake iliwagharimu Pauni 15,000 kwa zoezi zima la matibabu hayo nchini Urusi baada ya kukataliwa na kliniki kadhaa za Uingereza kutokana na umri wake mkubwa.
Madktari wa Urusi walisema kuwa ana uwezo wa kubeba mimba kwa sharti moja la kutumia mbegu za Nick na kupata yai kutoka kwa mwanamke mwingine. Hatimaye Freya akazaliwa Machi, 2008.
Binti huyo aliishi na Nick kipindi chote ambacho mama yake alikuwa mgonjwa.
Imeelezwa kwamba maradhi ya damu yaliyosababisha augue sana miaka iliyopita bado yapo na kwamba yakirejea yanaweza kuharibu kabisa moyo.
Kama itatokea Bi Tollefsen akafariki, tayari ameshaweka sawa mipango ambapo Freya atalelewa na mama yake mdogo anayeishi Norway kutokana na mpenzi wake wa zamani, Nick kuwa bize mno na kazi.

56 comments:

Anonymous said...

intelligence that Iran had ceased work on a nuclear weapon.. [url=http://www.2012canadagoosepascher.fr]Canada Goose Pas Cher[/url] They requisite my meliorate because I bed how to get rid of the wildlife problem, finished prudish wildlife discipline management and cell them from beingness a difficulty again. Birds are the only kind of animals that have feathers! There are so many kinds of them, and they are all so different. The non-wild revelation of the summer: these micro tomatoes Fran planted in our garden! (one of the original heirloom varieties from Mexico).
Oh no. [url=http://www.icanadagooseca.com]canada goose parka[/url] I feel Rosa Parks was one of many influential women in America. [url=http://officialcanadagoosesoutlet.ca]canada goose outlet[/url]
[url=http://flyballbags.com]canada goose toronto factory[/url] Bertram van Munster, Executive Producer Jerry Bruckheimer, Executive Producer Jonathan Littman, Executive Producer Hayma "Screech" Washington, Executive Producer Elise Doganieri, Co-Executive Producer Amy Nabseth Chacon, Co-Executive Producer Mark Vertullo, Co-Executive Producer Matt Schmidt, Supervising Producer Jarratt Carson, Supervising Producer Evan Weinstein, Supervising Producer Giselle Parets, Senior Producer Michael Norton, Senior Producer Patrick Cariaga, Senior Producer Phil Keoghan, Producer Top Chef Bravo Magical Elves, Bravo Dan Cutforth, Executive Producer Jane Lipsitz, Executive Producer Shauna Minoprio, Executive Producer Andrew Cohen, Executive Producer Frances G. [url=http://www.onlinebeatsbydreoutlet.com]beats by dre 20 dollars[/url]

Anonymous said...

third annual zombie walk on Oct. http://officialcanadagoosesoutlet.ca He has just lost his best friend and they understand his need to transfer his own pain into another living thing, his need to share his pain with the world and make everyone understand what he is going through. The Saturn V moon rocket, for example, weighed 3,050 tons at blast-off, and you got exactly seven tons back--that dinky little "command module" the men rode in. Most cases end this way; a settlement doesn mean it was a tie, even if it expressed that way by the parties afterwards.
That helps for faster digestion and expulsion - so it not hanging out fermenting and causing all kinds of misery. [url=http://www.icanadagooseca.com]canada goose parka[/url] Get a Ferrari 360 Spider for $2,500 a day, or, if you want an SUV, try a Range Rover for $495 daily. [url=http://officialcanadagoosesoutlet.ca]canada goose parka sale[/url]
[url=http://flyballbags.com]canada goose online[/url] Jerry Seinfeld question: How real is the scarcity, anyway? Do waiting lists reflect the feverish demand of legions of customers, or are they just a ruse -- a marketing device to stimulate demand by creating an illusion of scarcity? You know the waiting list, fashion answer to the velvet rope, the Gild-the-Lily Gold Club. [url=http://www.onlinebeatsbydreoutlet.com]cheap beats by dr dre 70 off[/url]

Anonymous said...

It is the best time to make a few plans for the long
run and it's time to be happy. I have learn this put up and if I may I wish to recommend you few attention-grabbing things or tips. Perhaps you could write subsequent articles relating to this article. I desire to learn even more things about it!
Also visit my web blog creams for stretch marks during pregnancy

Anonymous said...

Do you have a spam issue on this site; I
also am a blogger, and I was wondering your situation;
we have created some nice methods and we are looking to swap techniques with other folks, please shoot me an e-mail if interested.


my website Mederma Stretch Mark Therapy

Anonymous said...

Aw, this was a very nice post. Finding the time and actual effort to produce a great article… but what can I
say… I hesitate a lot and don't manage to get anything done.

Stop by my weblog; Ford Ranger

Anonymous said...

I think this is among the most vital info for me. And i am glad reading your article.
But want to remark on some general things, The site style
is perfect, the articles is really excellent : D. Good job, cheers

Have a look at my webpage http://info.action.or.kr

Anonymous said...

I am regular visitor, how are you everybody? This piece of writing
posted at this website is in fact pleasant.

Have a look at my blog post - cdtplm.com

Anonymous said...

Hello, of course this article is actually pleasant and I have learned
lot of things from it on the topic of blogging. thanks.


Also visit my web page - stretch mark Creams

Anonymous said...

Remarkable things here. I'm very glad to see your article. Thank you a lot and I am looking ahead to contact you. Will you please drop me a mail?

Also visit my weblog: where to buy solar panels bay area

Anonymous said...

That is a very good tip particularly to those new to the blogosphere.

Short but very precise info… Thanks for sharing this one.
A must read post!

my webpage ... http://www.Fredptitgars.Net/

Anonymous said...

Thanks very interesting blog!

Look into my site :: buy 12 volt solar panels

Anonymous said...

I'm extremely pleased to uncover this website. I wanted to thank you for ones time just for this wonderful read!! I definitely savored every part of it and I have you saved to fav to check out new stuff on your website.

my homepage ... takwin.info

Anonymous said...

Hey! This is my first visit to your blog! We are a group of volunteers and starting a new initiative in a
community in the same niche. Your blog provided us beneficial information to work on.
You have done a extraordinary job!

My web-site ... stretch mark creams

Anonymous said...

Do you have any video of that? I'd want to find out more details.

Take a look at my page :: buy reject solar cells

Anonymous said...

Post writing is also a excitement, if you be familiar with afterward you can write or else it is complex
to write.

My weblog; hs-heilbronn.de

Anonymous said...

We're a bunch of volunteers and opening a new scheme in our community. Your website offered us with valuable information to work on. You have performed an impressive job and our entire community will likely be thankful to you.

Feel free to surf to my website :: stretch mark removal and home remedy

Anonymous said...

Superb website you have here but I was wondering if
you knew of any user discussion forums that cover the same topics
talked about here? I'd really love to be a part of group where I can get suggestions from other experienced people that share the same interest. If you have any suggestions, please let me know. Thanks a lot!

My web blog - wiki.pg-comics.ru

Anonymous said...

Excellent weblog right here! Also your site so much
up very fast! What web host are you the usage of? Can I am getting your
affiliate link for your host? I wish my web site loaded up as quickly as yours lol

Here is my website ... stretch mark creams

Anonymous said...

I have read so many posts regarding the blogger lovers but this paragraph is truly a
pleasant article, keep it up.

my page - Stretch Mark lotion

Anonymous said...

Υour own artiсle offers cοnfirmed useful to
me pегsonаlly. It’ѕ rеally
helрful and you're obviously very educated in this region. You have opened my personal eyes for you to various views on this kind of topic using interesting and solid content material.

Also visit my page phentermine
Also visit my web-site :: phentermine

Anonymous said...

Good day I am so grateful I found your website, I really found you by error,
while I was searching on Google for something else, Anyways I
am here now and would just like to say thank you for a incredible
post and a all round interesting blog (I also love the theme/design), I don't have time to browse it all at the minute but I have book-marked it and also added in your RSS feeds, so when I have time I will be back to read a great deal more, Please do keep up the great work.

Feel free to visit my page :: mederma stretch mark therapy

Anonymous said...

electronic cigarette reviews, electronic cigarettes, smokeless cigarettes, smokeless cigarettes, ecigs, e cigarette forum

Anonymous said...

Іt'ѕ fantastic that you are getting ideas from tһiѕ article as ѡell aѕ from оur dialogue mɑde ɑt this time.

Anonymous said...

Ꮋeⅼlo, і read your blog from time tߋ tіmе and i ⲟwn ɑ similar оne
and i was just wondering if ʏou get a lot of spam responses?
Ιf ѕo һow do yօu stоp it, any plugin or anything you cɑn recommend?
І ցet so much lateⅼy it's driving me mad ѕo any assistance iѕ
very much appreciated.

Anonymous said...

Wow, fantastic blog layout! Howw ⅼong have yoս beеn blogging for?

you maԀe blogging llook easy. Ꭲhe overall look of уoսr
web site іs gгeat, ɑs well as the content!

Anonymous said...

It's a shame you don't have a donate button! I'd without a doubt donate
to this excellent blog! I guess for now i'll settle
for bookmarking and adding your RSS feed tto my Google account.
I look forward to branbd new updates and will share this website with myy
Facebook group. Chat soon!

Anonymous said...

Hello There. I found your bloig using msn. This is a really well written article.
I'll make sure to bookmark it and return to read more of your useful info.
Thanks for the post. I'll certainly comeback.

Anonymous said...

I read this paragraph completely concerning the comparison of hottest annd
earlier technologies, it's awewome article.

Anonymous said...

Hi there, for all time i used too check blog posts here in the early
hourrs in thee daylight, because i enjoy to gain knowledge of more and more.

Anonymous said...

Hurrah, that's what I was looking for, what a data!
present here at this web site, thanks admin of this website.

Anonymous said...

I read this article completely abou the difference of most up-to-date andd preceding technologies, it's awesome
article.

Anonymous said...

I love what youu guys are usually up too.

This kind of clever wirk annd coverage! Keeep up the awesome works guys I've you guys to my ownn blogroll.

Anonymous said...

Very good write-up. I absolutely love this website. Stick with it!

Anonymous said...

Hey! I'm at ork surfing around your blog from my new iphone!
Just wantedd to saay I love reading through your
bloog and look forward to all your posts! Carry on the great work!

Anonymous said...

Hi, Neat post. There's an issue with your site in internet explorer, could test this?

IE nonetheless is the marketplace chief and a good part of people will miss your wonderful writing due to this problem.

Anonymous said...

I do trust all the ideas you've odfered to your post. They aree very convincing and can certainly work.

Still, the posts are too brief for novices. May you please prolong them a bit
from subsequent time? Thanks for the post.

Anonymous said...

Helpful info. Lucky me I found your web sitfe unintentionally,
and I am surprised why this coincidence didn't happened in advance!
I bookmarked it.

Anonymous said...

I am resgular visitor, how are you everybody? This article posted at this web site is actuallly pleasant.

Anonymous said...

Sweet blog! I found it while browsing on Yahoo News.
Do yoou have any suggestions on how to get listed in Yahoo News?
I've been trying for a while but I never seem to get there!
Many thanks

Anonymous said...

Helolo to every one, it's in fact a pleasant for me to pay a quick
visit this web site, it contains useful Information.

Anonymous said...

Thaank you for the auspicious writeup. It in fact was a
amusement account it. Look advanced to far added agyreeable from you!
However, hoow coould wwe communicate?

Anonymous said...

Hey there! I've been reading your weblog foor a while now and finally got the bravery to go ahead and give you a shout out from
Humble Tx! Just wanted to say keep up the fantastic job!

Anonymous said...

I am regular reader, how are you everybody? This paragraph posted aat this web page is genuinely fastidious.

Anonymous said...

Very good article. I am going through some of these issues as well..

Anonymous said...

It's going to be end of mine day, however before finish I amm reading this enormous piece of writing to increase my experience.

Anonymous said...

I was able to find good advice from your content.

Anonymous said...

Hi there, I desire tto subscribe foor this blog to get latest updates, therefore where can i do it please help.

Anonymous said...

Unquestionably believe that which you stated. Your favorite reason seemed to be on the net the
simplest ting too be aware of. I say to you, I definitely gett irked while people think about worries that they plainly do not know about.
You managed to hit the nqil upon the toop as well aas defined out the whole thing without having side-effects , people could take a signal.
Will probably be back to get more. Thanks

Anonymous said...

Thiis site definitely hhas all of the information annd
facts I wanted about this subject and didn't know who to ask.

Anonymous said...

Wow, this piece of writing iis fastidious, my younger sister is analyzing such things,
so I am goiong to let know her.

Anonymous said...

Hi there, There's no doubt that your weeb site could be having browser compatibility issues.
When I take a look at your blog in Safari, it lloks fine however when opening inn I.E., it
has sime overlapping issues. I mereoy wanted to give you a quick
heads up! Aside from that, excellent website!

Anonymous said...

Hi there fantasric blog! Does running a blog similar to this taake a great deal of work?
I have very little expertise in prograamming however I was hopimg
to start my oown blog in the near future. Anyhow, iff you have
aany suggestions or techniques for new blog owners please share.
I know this is off subject however I simply haad to ask.
Thanks!

Anonymous said...

Verry good blog! Do yyou have any helpfil hints for aspiring writers?
I'm hoping to start my own blog soon but I'm a little lost on everything.
Would you propose starting with a free platdorm like Wordpress or go for a paid option? There are so many choces out
there that I'm completely confused .. Any tips? Cheers!

Anonymous said...

Heya i am for the first tiome here. I found this board andd I in finding It truly useful &it helped me oout much.
I am hoping to give something again and help others like youu aidd me.

Anonymous said...

The other day, while I was at work, my cousin stole my
iPad and tested to see if it can survive a twenty five foot drop, just so
she can be a youtube sensation. My apple ipad is now broken and she has 83 views.
I know this is totally off topic but I had to share it with someone!

Anonymous said...

I am curious to find out what blog platform you
happen to be using? I'm experiencing some minor security
problems with my latest site and I would like to find
something more secure. Do you have any recommendations?