Robert Gleason Jr. |
Muuaji ambaye aliwanyonga wafungwa wenzake wawili ili kuharakisha utekelezwaji wa hukumu yake ya kifo ametumia muda wake wa mwisho huku akiwa kafungwa kwenye kiti cha umeme kuwaeleza mashuhuda 'matusi' muda mfupi kabla hajafa juzi Jumatano Saa 3:08 usiku.
Robert Gleason Jr. alitamka maneno ya kishenzi katika lafudhi ya Ireland, kwa mujibu wa Larry Taylor, msemaji wa Idara ya Marekebisho ya Virginia, huku akiongeza "Niweke kwenye barabara inayoenda kwa Jackson na waiteni ndugu zangu wa Ireland ... Mungu nibariki," kabla kipande cha ngozi kufungwa usoni mwake.
Mtu huyo mwenye miaka 42 alikuwa wa kwanza kufungwa kwenye kiti cha mbao cha umeme kifuani mwake, mikononi na miguuni, huku akionekana mara kwa mara akitabasamu, kupepesa na kumuashiria kwa kichwa mshauri wake wa kiroho ambaye alikuwa ameketi eneo la mashahidi, gazeti la Richmond Times Dispatch limeripoti.
Mshauri huyo wa kiroho, Tim 'Bam Bam' Spradling, alibainisha ilikuwa njia ya Gleason kuashiria kwamba alikuwa tayari kwenda.
Baada ya kumaliza kutafuna maneno yake ya mwisho, kipande kipana cha ngozi kilizungushwa kuziba macho yake na mdomo, Tundu la kati liliachia nafasi kwa ajili ya pua yake.
Kilichofuata sponji -lililozamishwa kwenye maji ya bahari lililoanishwa kuwezesha kuruhusu umeme kusambaa mwili mzima ili kufanya kifo cha haraka na chenye maumivu kidogo - lilifungwa kwenye upande wa kulia kabla la pili kuwekwa juu ya kichwa chake.
Bila sponji hilo umeme unaolishwa utasambaa kote mwilini, na kusababisha mwili kupikwa katika njia yenye maumivu makubwa.
Nyaya za umeme zikaunganishwa kwenye kichwa cha Gleason na miguuni kabla ya ufunguo kuzungushwa ukutani, kuruhusu mzunguko wa umeme.
Kwa msukumo wa mwisho kutoka kwenye kitufe kutoka nyuma ya dirisha, mzunguko wa kwanza wa umeme ukaruhusiwa, ukituma volti zinazokadiriwa kufikia 1,800 katika ampia 7.5 kwa sekunde 30 kabla ya kupunguzwa hadi volti 250 katika ampia 1.5 kwa sekunde nyingine 60.
Baada ya kurudiwa mizunguko hiyo kwa dakika tano, kuruhusu mpishano kati yake, mwanafizikia alikagua mapigo yake ya moyo, akiweka chombo cha kusikiliza mapigo ya moyo kifuani kwake lakini hakusikia chochote.
Alikuwa wa kwanza kuuawa katika Marekani mwaka huu na wa kwanza kuchagua kufa kwa umeme tangu mwaka 2010.
Katika Virginia na majimbo mengine tisa, wafungwa wanaweza kuchagua kati ya kifo cha umeme na sindano ya sumu.
Siku hiyo ya Jumatano aliripotiwa kupata chakula chake cha mwisho, lakini akaamua kutoweka hadharani taarifa za alichokula.

No comments:
Post a Comment