KUTANA NA WAZAZI WABAYA ZAIDI DUNIANI...

Mama huyu akivuka na mwanae kwenye kivuko cha reli huku taa nyekundu zikiwaka kumkataza kufanya hivyo na treni ikiwa jirani. Hata kama yeye amechoka kuishi, na mtoto je?
Uzembe gani huu? Mzazi huyu akifurahia kuzunguka na mwanae kwenye moja ya hofadhi za wanyama bila kuangalia kama mtoto ameshika waya wa umeme mkubwa tena na tangazo la tahadhari. Pengine hajui kusoma...!

No comments: