Aah faza, ubebaji gani huo wa mtoto. Kama umemchoka si umpeleke kwenye vituo vya kulelea yatima?
Hivi tukikuuliza unawekeza nini hapo, utakuwa na jibu kweli? Mzazi huyu akimfundish binti yake jinsi ya kutumia bastola. Mie nimeishiwa maneno, nasubiri kutoka kwako msomaji wangu kwenye comments.
No comments:
Post a Comment