KISWAHILI KINAPOKUWA KIGUMU KWA WASWAHILI...

Bango kubwa linalosomeka vizuri kabisa likikataza magari kuegeshwa kwenye hifadhi ya barabara kama lilivyokutwa mchana huu kwenye Barabara ya Mandela eneo la Mabibo, Dar es Salaam. Je, kilichoandikwa kimeeleweka? Tazama picha hii chini ambapo 'wajasiriamali' hawa wakiosha malori kwenye hifadhi hiyo ya barabara. (Picha zote na ziro99blog).

1 comment:

Anonymous said...

hao hakuegesha wanaosha.wewe ndio hujalielewa hilo bango au umelielewa sana mpaka umetengeneza maana zako