Dereva wa pikipiki ya miguu mitatu maarufu kama Bajaji akiikokota kuelekea kituo cha mafuta eneo la Buguruni Chama kama alivyonaswa na 'mzururaji' wetu jana jioni. Bajaji zinasifika mno kwa utumiaji wake mdogo wa mafuta na hivyo kuzua maswali yasiyo na majibu kwa hiki kinacoonekana pichani. (Picha na ziro99blog).
No comments:
Post a Comment