Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose (kushoto) pamoja na viongozi wa Chama cha ngumi Tanzania (BFT) wakiunganisha mikono pamoja kuonesha ushirikiano wakati wa makabidhiano ya hundi ya Shilingi milioni 10 kama msaada kutoka Zantel kwa BFT.

No comments: