Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa bwawa kubwa la maji la Leken katika kata ya Seleli wilayani Monduli leo. Bwawa hilo ambalo limegharimu Shilingi bilioni 1.5 lina ukubwa wa kilomita tatu.

No comments: