Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akifuatilia kwa karibu wadau wakitoa maoni wakati wa warsha ya wadau wanaoshughulika na utafutaji na uzalishaji gesi na mafuta ili kupata maoni yao yatakayosaidia kuboresha Rasimu ya Sera ya Petroli. Wengine kutoka kushoto ni Mhandisi Innocent Luoga (Kamishna Msaidizi anayeshughulikia masuala ya Umeme), Mhandisi Stanley Marisa (Kamishna Msaidizi Nishati, anayeshughulikia Petroli) na Adam Zuberi (Mjiolojia Mwandamizi Wizara ya Nishati na Madini).

No comments: