Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akigombewa kusalimiwa na wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Assumpta iliyopo Hai mkoani Kilimanjaro, wakati wanafunzi hao walipofanya ziara ya kimafunzo bungrni mjini Dodoma jana.

No comments: