Mwendeshaji wa kipindi cha televisheni cha Wanawake Live, Joyce Kiria (katikati) akili kwa uchungu wakati akielezea alivyomfahamu marehemu George Otieno 'Tyson' kabla ya zoezi ya kuuaga mwili wa marehemu kwenye Viwanja wa Leaders Club, Kinondoni, jijini Dar es Salaam jioni ya leo. Tyson aliwahi kuwa prodyuza wa mwanzoni wa kipindi cha Wanawake live akifanya kazi sambamba na Joyce. Kulia ni mwigizaji wa filamu nchini, Nice Mohammed 'Mtunis'.

No comments: