Mwendeshaji wa kipindi cha televisheni cha The Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili kushoto) akionekana mwenye mawazo mno muda mfupi kabla ya kuuaga mwili wa George Otieno 'Tyson' mapema leo kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Tyson alikuwa prodyuza wa kipindi cha Mboni Show na kwamba alifikwa na umauti akiwa njia kutoka mkoani Dodoma ambako timu nzima ya kipindi hicho ilikokwenda kukabidhi madawati kwa shule moja. Kulia ni aliyewahi kuwa mke wa marehemu, Yvonne Cherry 'Monalisa.

No comments: