Aliyekuwa mke wa marehemu George Tyson, Yvonne Cherry 'Monalisa' akiwa na binti yake pekee aliyezaa na Tyson, kabla ya zoezi la kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu kwenye Viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam. Tyson alizikwa kwenye makaburi ya Kinondoni jioni ya leo.

No comments: