Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusela akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na wasanii watakaotoa burudani kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar mwaka huu linalotarajiwa kufantika Juni 14 - 22.

No comments: