Msanii wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' akiwa kwenye mgahawa wa Safari na kundi lake zima pamoja na mashabiki wake waliofika mgahawani hapo kwa ajili ya kupiga naye picha mjini Washington, DC.

No comments: