Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Rostam Aziz (kulia) wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es Salaam kumpa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi aliyefariki dunia katikati ya wiki hii. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik.

No comments: