Mtoa mada akiongea wakati wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) na wahariri pamoja na watendaji wakuu wa vyombo vya habari uliofanyika kwenye Hoteli ya Aishi Protea iliyoko Machame, wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.

No comments: