Wadau wakifurahia kinywaji kipya cha Serengeti Platinum kinachozalishwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries, wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho uliofanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape 1, Mikocheni Mlalakuwa, Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana.

No comments: