Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiwa pamoja na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba (kulia) wakati wa kuaga mwili wa mama yake, Bi. Shida Salum aliyefariki dunia leo kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.

No comments: