Daladala zikipita kwenye kituo cha Mwenge, Dar es Salaam bila kusimama popote ikiwa ni siku ya kwanza tangu wasafirishaji hao kuamriwa kuacha kutumia kituo hicho na kuanza kutumia Kituo cha Makumbusho ambacho inaelekea hawakubaliani nacho na hivyo kuamua kuanza kufanya mgomo baridi.

No comments: