Warembo 12 wanaotarajiwa kuwania taji la Mrembo wa Mkoa wa Kilimanjaro mwaka 2014 wakiwa katika pozi la picha kwenye Hoteli ya Sal Salnero mjini Moshi. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 6, mwaka huu katika Ukumbi wa Kili Home, mjini Moshi.

No comments: