Baadhi ya Warembo wanaowania taji la Miss Arusha wakimsikiliza kwa makini Dk Sober Mzighani wa Hospitali ya Maria Stopes ya jijini humo wakati wakipatiwa mafunzo mbalimbali yahusuyo masuala ya afya ya binadamu.

No comments: