Viongozi walioketi meza kuu wakati wa kuaga mwili wa Mwigizaji maarufu nchini, Adam Philip Kuambiana wakifuatilia kwa makini moja ya matukio kwenye viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Waziri anayeshughulikia Vijana naUtamaduni, Dk Fenella Mukangara na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengele 'Steve Nyerere' (wa tatu kutoka kushoto).

No comments: