Kundi la walemavu, wajasiriamali na wafanyabiashara ndogondogo wakiwa wamefunga makutano ya Barabara za Uhuru na Kawawa maeneo ya Uwanja wa Karume jana kuishinika Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kutimuliwa katika eneo la Mtaa wa Kongo, Kariakoo, jijini Dar es Salaam.

No comments: