Mwenyekiti wa Jumuiya ya watanzania waishio nchini Japana (Tanzanite Society), David Semiono, akisoma risala ya jumuiya hiyo wakati wa hafla ya chakula cha jioni na Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika kwenye Hoteli ya The Otan, jijini Tokyo juzi.

No comments: