Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi za chama hicho Kata ya Ighombe ambapo aliwahimiza viongozi wa CCM kujenga ofisi zenye uwezo wa kutoa msaada wa kijamii ikiwamo elimu ya ujasiriamali.

No comments: