Daktari Bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi "Endometriosis" wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk Belinda Balanda, akielezea seli za mji wa uzazi zinazokuwa nje ya uzazi ambazo hushambulia eneo hilo na kumsababishia mwanamke maumivu makali wakati wa mzunguko wa hedhi.

No comments: