Rais Jakaya Kikwete akimwandikia kitu Rais Joyce Banda wa Malawi wakati wanaagana jana Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Rais Banda alikuwa miongoni mwa marais waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano.

No comments: