Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza mgonjwa Manford Kasebele aliyefanyiwa upasuaji wa moyo katika kituo kipya cha upasuaji wa moyo, tiba na mafunzo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, baada ya kuzindua kituo hicho, Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na Mwakilishi wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Chen Changzhi (wa tatu kulia).

No comments: