Mkazi wa eneo la Kigogo Jijini Dar es Salaam akibeba chaga ya kitanda kuelekea mahali ambako hakutaka kueleza mara moja, baada ya kuchoshwa na mazingira magumu ya kuishi eneo hilo kutokana na adha ya mafuriko ya mara kwa mara.

No comments: