Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga akiongea na vijana wa kujitolea wakati alipofungua semina yao ya siku tano jijini Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Vijana katika wizara hiyo, Dk Kissui S Kissui na Kaimu Mkurugenzi wa Mandeleo ya Vijana, James Kajukusi.

No comments: