Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli (kushoto) akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), Balozi Hubert E. Mrango (kulia) baada ya uzinduzi wa bodi hiyo mpya, Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati) ni Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Prof. Idrissa Mshoro.

No comments: