Dereva wa Bajaji akijaribu kutoka katika bajaji yake mara baada ya kupinduka wakati anakata kona ya Kinondoni Hananasifu, Dar es Salaam jana akiwa katika mwendo kasi.

No comments: