CHEKA KIMYA-KIMYA...

Wakiwa baa wanasubiri kuhudumiwa, jamaa akamuuliza mwanamke wake: "Unatumia FACEBOOK?"
Mwanamke kwa mapozi na msisitizo akajibu: "Natumiaga ila isiwe ya baridi sana!" Kasheshe...

No comments: