CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja katika kujifagilia kwa demu akajitambulisha kuwa anasomea kozi ya HOTEL MANAGEMENT. Baada ya siku kadhaa yule binti akamkuta jamaa akiosha vyombo kwa mama ntilie mmoja uswahilini na kumuuliza: "Bebi vipi, mbona uko hapa?" Jamaa kuzima soo akajitetea: "Niko FIELD!" Duh...

No comments: