CHEKA TARATIBU...

Panya alikuwa kapiga magoti anasali kanisani. Mara alipotazama pembeni akamwona paka amekaa. Panya akasema kwa woga: "Hapa tuko kanisani bwana, habari zako za kukimbizana na kulana hazitakiwi hapa!" Paka akajibu: "Hapa tunakula hadi mwili wa Yesu, sembuse wewe? Hebu maliza kusali nakusubiri kwa hamu!!" Kasheshe...

No comments: