Jamaa mmoja katika pitapita zake kamkuta chizi akiandika barua na mambo yakawa hivi. JAMAA: Vipi hiyo barua unamtumia nani? CHIZI: Najitumia mimi mwenyewe. JAMAA: Ni ujumbe gani umo katika hiyo barua? CHIZI: We mjinga nini? Sasa mie nitajuaje wakati hata bado haijanifikia! Kasheshe...
No comments:
Post a Comment