CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja hajui Kiingereza vizuri kaenda zake Ulaya kwa matembezi. Akiwa katika chumba cha hoteli si akaona panya na kuamua kupiga simu mapokezi. Mambo yalikuwa hivi. JAMAA: There is problem in my room. MAPOKEZI: What kind of problem? JAMAA: Do you know Tom and Jerry? MAPOKEZI: Yes! JAMAA: So Jerry is here!! Kasheshe...

No comments: