CHEKA TARATIBU...

Mtoto mmoja alikuwa akipata shida mno kusali kabla ya kulala kutokana na urefu wa sala hiyo. Siku moja akaamua kuiandika ile sala yote kwenye ukuta wa chumbani kwake. Basi kila ukifika wakati wa kulala sala ilikuwa hivi: "Ee Mungu, hebu soma pale ukutani!!" Duh, kasheshe...

No comments: