CHEKA TARATIBU...

Daladala lilitoka Kariakoo  kufika Manzese konda akauliza: 'Kuna mtu anashuka?" Jamaa mmoja mpenda sifa akajibu kwa sauti: "Tumeacha nyumbani, hapa tuna MITANDIO tu!" Konda akanyamaza na safari ikaendelea. Kufika mbele kidogo eneo la Ubungo Maziwa yule jamaa akataka kushuka hivyo akamwambia konda: "We konda nashuka maziwa." Konda akageuka na kumjibu: "Itabidi urudi mjini ukanunue SIDIRIA!" Abiria wote kicheko, jamaa kimyaa….

No comments: