CHEKA TARATIBU...


Baada ya kuwa amevuta mno dawa za kulevya, teja kaenda kujitazama kwenye kioo akiwa hana nguo. Duh! Kajiona amevaa bonge la suti na kuamua kwenda nje kupata maoni ya washikaji zake. Akauliza: "Oyaa, mnalionaje hili suti nililovaa wanangu?" Wenzake nao wakiwa wamekolea dawa za kulevya wakamjibu, "Umetoka bomba ile mbaya mwana, ila tu hiyo tai umefungia chini sana!" Duh...

No comments: