HAKIKA TUMETOKA MBALI...

Usafiri wa Treni ya Reli ya Kati ambao ulisimama kwa takribani miaka mitatu kabla ya kufufuliwa tena hivi karibuni na Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ulivyokuwa enzi hizo kama wanavyoonekana abiria wakifurahia katika Stesheni ya Tabora mwaka 1966.

No comments: