CHEKA TARATIBU...

Mwalimu aliingia katika darasa moja huko Iringa Vijijini na kuuliza wanafunzi wake. "Nani atanipa jibu la wingi wa Chumvi?" Mwanafunzi mmoja kwa kujiamini akasimama na kujibu, "Fyuvi!" Duh, kasheshe...

No comments: