MAZISHI YA MWADHAMA LAUREAN KARDINALI RUGAMBWA JANA...

Askofu wa Jimbo la Kagera, Methodius Kilaini kabla ya misa ya mazishi ya Kardinali Rugambwa katika Kanisa Kuu la Bukoba, jana.
Kaburi jipya ya Kardinali Rugambwa ndani ya Kanisa Kuu la Bukoba.
Jeneza lenye mabaki ya mwili wa Kardinali Rugambwa wakati wa misa kabla ya kuzikwa upya jana.
Kanisa Kuu la Bukoba, mkoani Kagera ambako Kardinali Rugambwa alizikwa upya jana.

No comments: