HIVI NDIVYO SOKA ILIPOGEUKA KUWA BASKETBALL...

Yaliwekwa kimiani jumla ya mabao 12 katika mchezo mmoja. Hii ilikuwa jana ambapo baada ya kukandamizwa 4-0, Arsenal iliweza kubadili matokeo na mwisho wa mchezo kuibuka na ushindi wa mabao 7-5 dhidi ya Reading katika mechi ya Kombe la Capital One na kufuzu kwa hatua ya Robo Fainali. Mabao ya Arsenal yaliwekwa kimiani na Theo Walcott aliyefunga mabao matatu kwa namna ya kipekee (Dakika ya 45, 90 na 120) huku mengine yakifungwa na Giroud, Kocielyn na Marouane Chamakh aliyefunga mawili. Hakika ilikuwa mechi ya ajabu!!

1 comment:

Anonymous said...

Hey there! This is my first comment here so I just
wanted to give a quick shout out and tell you I really enjoy
reading through your articles. Can you
recommend any other blogs/websites/forums that cover the same
topics?
Thanks a lot!

my page - Click here
Also see my site: Click here