CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja alikuwa akitembea na rafiki yake, ambaye alikuwa ni mwanasaikolojia. Akamweleza rafiki yake, "Mimi ni uchumi unaotembea." Rafiki yake akauliza, "Inawezekanaje?" Jamaa akajibu, "Nywele zangu zinapungua, tumbo langu ni mwathirika wa mfumuko wa bei, na vyote hivi kwa pamoja vinaniweka kwenye mfadhaiko mkubwa mno!" Duh...!"

No comments: