CHEKA TARATIBU...

Wamakonde wawili wameingia kwenye baa moja na kuanza kuangaza huku na kule wasijue cha kuagiza. Mara wakaingia Wachagga wawili na kusema kwa sauti, "Mhudumu, lete Kilimanjaro mbili baridi!" Wamakonde kusikia hivyo nao wakajitutumua, "Mhudumu, lete Mtwara mbili baridi!" Duh...

No comments: