CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja kapanda teksi. Kutokana na kelele za muziki ndani ya gari hiyo jamaa akamfokea dereva, "Oyaa, zima muziki wako. Enzi za Yesu hakukuwa na redio!" Dereva bila ubishi akazima redio na kupaki gari pembeni. Kisha akafungua milango yote. Jamaa kwa mshangao akauliza, "Vipi?" Dereva akajibu, "Enzi za Yesu hakukuwa na magari. Shuka ukapande punda!" Balaa...

No comments: