CHEKA TARATIBU...

Mama mmoja kavamia hospitali kwa Dokta huku akihema kwa nguvu.
Mama: Nisaidie, Dokta! Mtoto wangu kameza kopo langu lote la poda!
Dokta: Usihamaki. atapona tu.
Mama: Lakini sasa nitajipaka nini leo usiku maana nina mtoko!
Duh, balaa...

No comments: