AJALI MBAYA YAUA MWANAJESHI MIKOCHENI...


Habari zilizotufikia punde ambazo bado hazijathibitishwa rasmi na mamlaka husika zinasema kwamba mwanajeshi mmoja anaaminika kufa na wenzake wengine kuvunjika ama kukatika miguu baada ya gari lao dogo la jeshi kugongana uso kwa uso na daladala maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam leo asubuhi. Hali ya majeruhi na chanzo cha ajali hiyo hakikuwekwa wazi. Tunaendelea kufuatilia kwa undani taarifa hizo kwa mamlaka husika. Endelea kufurahia ziro99blog.

No comments: